Kozi yetu ya Effective Leadership imeanza rasmi kupitia Redio Mzalendo na hapa kwenye ukurasa wa Facebook. Somo la leo ni Effective Communication for Effective Leadership. Ungana nasi moja kwa moja kupitia Mzalendo Radio na pia hapa kufuatilia mjadala. Farrell Jnr Foum, Salma Said #teamzanzibar Hili ni mafunzo kwa kila mtu kuwa huru kushiriki
Bwana Abdi Omar Maalim kuhusiana na Meli ya Kilimanjaro 2 iliyopata khitilafu jana na kupoteza watu kadhaa ambapo watano wakipatikana wamefariki, watatu wakiwa hai na zaidi ya 20 kuendelea kutafutwa. Sauti kwa hisani ya Salma Said:
WANASIASA wakongwe waliokuwa katika serikali wakati wa kuundwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Salum Rashid na Nassor Hassan Moyo wamesema baraza la Mapinduzi halikushauriwa wala halikushirikishwa katika kuundwa kwa Muungano huo.
Salma Said, Mzee Moyo:
Mwana habari Salma Said na Matukio muhimu yaliotokea mwaka wa 2012
Wakili wa Uamsho akieleza kusikitishwa kwake na uvunjani wa haki za binadamu na katiba ya nchi
Novemba 5 visiwa vya Zanzibar viliadhimisha mwaka wa pili tangu kuundwa serikali ya Umoja wa kitaifa kati ya chama cha mapinduzi CCM na kile cha wananchi CUF, Hatua hiyo ilitokana na matakwa ya wananchi. Kuundwa kwa serikali hiyo ya mseto baada ya uchaguzi mkuu uliopita 2010, kulitokana uamuzi wa wakaazi wa visiwa hivyo katika kura ya maoni ilioitishwa kama sehemu ya maridhiano yaliofikiwa baina ya aliyekuwa Rais wa Zanzibar wakati huo Amani Karume na Katibu mkuu wa chama cha CUF Maalim Seif Sharif Hamadi. Katika kipindi hiki cha Kinaga ubaga Mohammed Abdulrahman amefanya mahojiano na Makamu wa kwanza wa Rais wa serikali yamapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi ambae pia ni Katibu Mkuu wa CUF.
Sikiliza Mkasa wa Sheikh Soraga
ALBIUS Tribullus alifariki dunia kama miaka 19 hivi kabla ya kuzaliwa Nabii Issa (YesuKritso). Tribullus alikuwa Mlatini na mshairi maarufu aliyebobea katika fani ya uandishi wa maombolezi.